JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Nilisha sinzia nikapitishwa badala ya kushukia buyuni nikastuka niko chanika mwisho[emoji854][emoji1]
Me nilitoka Kariakoo naenda Sinza kituo cha kushuka Sinza Palestina si nikalala plus foleni ya magomeni na manzese usingizi ukakolea. Nakuja kustuka nipo Sayansi basi ikabidi nimalizie mpaka makumbusho then nipande gari ya kurudi tena.
 
Sema inategemea na mnyonyaji anaamua aamke saa ngapi, siku akichoka analala muda mrefu usiku. Kama juzi kaamka saa 7 usiku kaja kulala saa 10. Umama kazi sana nitalinda humu ndani hadi nikome [emoji19][emoji19][emoji19][emoji19]
Pole sana, ila kubwa ni hongera!
Hata hivyo kadhia zote anazopitia mama kwenye malezi malipo yake ni mengi kutoka kwa mtoto kuliko hata apewayo baba.
 
Me nilitoka Kariakoo naenda Sinza kituo cha kushuka Sinza Palestina si nikalala plus foleni ya magomeni na manzese usingizi ukakolea. Nakuja kustuka nipo Sayansi basi ikabidi nimalizie mpaka makumbusho then nipande gari ya kurudi tena.
[emoji6][emoji28][emoji1787]hatare sn!
 
Back
Top Bottom