Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,439
05:43 I mean no malice to nobody, muda wa kwenda kwenye mapambano🤒
Ndio tunamalizia wengine ndio tunaachiwaWalinda zamu mpo
HahahahahaNdio tunamalizia wengine ndio tunaachiwa
HahahahahaHao wengine bad wanapata dozi ya asubuhi,then wakija hapa wawe wepesi
[emoji23][emoji23]kuna wale tunaingia lindo ,boss akiingia kulala nasisi tunalala ...ila alfajiri unakuta tupo activeSiti ya mbele afu umezima
Aah hapo unaenda sinzia njiani [emoji2]0539 kumekucha, tukachanganyikiwe sasa
[emoji23]Ndio nimetoka kwa mchepuko,narudi hm sasa
Kwenye daladala mpaka unapitiliza kituo, kama unaenda mbali unajikuta unakoroma kabisa acha tuuAah hapo unaenda sinzia njiani [emoji2]
Nilisha sinzia nikapitishwa badala ya kushukia buyuni nikastuka niko chanika mwisho[emoji854][emoji1]Kwenye daladala mpaka unapitiliza kituo, kama unaenda mbali unajikuta unakoroma kabisa acha tuu
Umeniwahi [emoji23],nilitaka siti ya mbele ili nisinzie vizuri0000