Imekuwaje mkuu?Uchawi upo wakuuu
Nimetoka kula mitungi nakaribia home naona jirani yuko uchi kama anafanya mayanga vile,pombe imekata nasubiri pakuche nikamuulizeImekuwaje mkuu?
Aisee, pole sana.Nimetoka kula mitungi nakaribia home naona jirani yuko uchi kama anafanya mayanga vile,pombe imekata nasubiri pakuche nikamuulize
Asante mkuuAisee, pole sana.
Hapa patalindwa mpaka kielewekeSalamaa naona uko lindo
tungi mkuu linakupa wengemshamba_hachekwi acha kucheka usiku una mambo huu
Tungi huwa halinipeleki sana,kwa hiki nilichokiona nahisi hata jirani ana hofu pia maana ilibidi nilopoke 😅😅😅 nasubiri pakuche ntakupa mrejeshotungi mkuu linakupa wenge
😂 kumbe uliropoka? Haya, ulisemaje😌?Tungi huwa halinipeleki sana,kwa hiki nilichokiona nahisi hata jirani ana hofu pia maana ilibidi nilopoke 😅😅😅 nasubiri pakuche ntakupa mrejesho
hapa capital yako tuHiyo hela unge anza kuiweka Kwenye stocks, unge fanya la maana.
National Anthem, Mzee wa kupambania
View attachment 2735186
Asante na ni kweli kabisa mkuu.Pole sana, ila kubwa ni hongera!
Hata hivyo kadhia zote anazopitia mama kwenye malezi malipo yake ni mengi kutoka kwa mtoto kuliko hata apewayo baba.