watakoma na hawatupati ng'ooooo 😂Saa nyingine ni vizuri kuwasumbua wanga,kila wakija wanakukuta macho wanageuza,wanakusikiliziaaa wakirudi tena mwamba upo macho,hawajakaa vizuri wanasikia jogoo,,,hao kinyonge
ahahaha duhHahahahaaaaa
Leo nadhan nmesoma nyuzi zote za jf
Tuko kama kawa tunalisongeshaWakeshaji wowote chaaali duh
UrudisheUsingizi umepeperuka