National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
😅😅😅Ngojaaa Mzee wa kupambania na mzabzab wake kumwaga darasa, namna ya kuomba mgongonipe aisee kamanda😂
😅😅😅Ngojaaa Mzee wa kupambania na mzabzab wake kumwaga darasa, namna ya kuomba mgongonipe aisee kamanda😂
Daaah! Nani tena huyo anataka mgongo? 🤣🤣🤣😅😅😅Ngojaaa Mzee wa kupambania na mzabzab wake kumwaga darasa, namna ya kuomba mgongo
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Lala mrembo mi nakutaftia hela
Kazi ya ulinzi sio lelemama,tunaiweza wajukuu wa Gen Msuguri tunaona lindo limetelekezwa
Mapopo wa jf, hahahahaaKazi ya ulinzi sio lelemama,tunaiweza wajukuu wa Gen Msuguri tu
.
kumekucha mkuu usiku tunaugeuza mchana
😅😅Hakuna kulala,mchana nzi ,usiku mmbu.Mapopo wa jf, hahahahaa
Hahahahaaaaakumekucha mkuu usiku tunaugeuza mchana
Saa nyingine ni vizuri kuwasumbua wanga,kila wakija wanakukuta macho wanageuza,wanakusikiliziaaa wakirudi tena mwamba upo macho,hawajakaa vizuri wanasikia jogoo,,,hao kinyongekumekucha mkuu usiku tunaugeuza mchana