Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,355
- 95,749
Small planet, anatekwa kiumbe hapa
Sogea Small planet, tucheze na totozNipo mahali watu washabadilika akili wanapigana vyupa tuu
Pigo za hivyo hunioniNipo mahali watu washabadilika akili wanapigana vyupa tuu
Waangalia Katuni?12:00 AM
mshamba leo nakesha
View attachment 2688302
Ms eyes To yeye Dahan Joannah Half american tuchangamshe lindo.....
Huku kwetu bado pori, nilikuwa nimefata kidemu changu nikipeleke gheto. Ujue kinaogopa fisi hahahaa.....Kama unazurura mtaani saa hizi,Basi unamendea Flat screen zetu au kupiga chabo mechi za watu.
NIMEKUSHINDWA🤣🤣🤣🙌za watu wazima
kuna sehemu wanadinyana😂
Ndo naamka mdau,nilikuwa Entebe chukwani hukuSogea Small planet, tucheze na totoz
Ndo naamka now....mimi nkionaga hivyo nakusanya chupa zinazonihusu nakaa umbali wa mitaNa ww angalia usije jumlishwa humo
We jamaa umechanganyikiwa au vipi? Ivo vimemes vyko vya twitter unatuletea hpa ili iweje? Hlf mda bado humu ndani wa hili jukwaa kua activeUnajua kabisa huna Pesa ya Kuhonga, halafu unatongoza Wanawake! Ili iwaje sasa?
Na mm ndio naamka muda huu,na fikiria nianzie wapi?Ndo naamka mdau,nilikuwa Entebe chukwani huku