Beesmom
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 37,436
- 92,227
Kulishafungwa mkuu,,Kuna mwamba amefunga mazima na ruhusa ya kufunguka hatoi🤒Sawa sawa ndio maana nilipita kwako kukawa kumefungwa
Kulishafungwa mkuu,,Kuna mwamba amefunga mazima na ruhusa ya kufunguka hatoi🤒Sawa sawa ndio maana nilipita kwako kukawa kumefungwa
Dah,si mchezo kaniwahi,kaondoka na funguoKulishafungwa mkuu,,Kuna mwamba amefunga mazima na ruhusa ya kufunguka hatoi🤒
Kameza🙆Dah,si mchezo kaniwahi,kaondoka na funguo
Dah, kweli sina zali ,nilivyokua nakuvizia ,dahKameza🙆
🤣🤣🤣🤣🤣 Aiseee!Dah, kweli sina zali ,nilivyokua nakuvizia ,dah
Eeh,ilikua ulipo nipo ,kumbe.....dah🤣🤣🤣🤣🤣 Aiseee!
🤣🤣🤣 Pole sana jaman.....ndo ivoEeh,ilikua ulipo nipo ,kumbe.....dah
Nishapoa ila sina raha, nguvu zote zimeisha🤣🤣🤣 Pole sana jaman.....ndo ivo
Inapendeza kusikia hivyo 😊Miss u too.. Niko poa jameni😂
Jana na leo😂😂😂😂
ntawasumbua sana, na bado😂Jana na leo😂😂😂😂
Hongera sana aseeh😨0006
Kula chuma hiko View attachment 2680558