JamiiForums Usiku wa manane
serious mzee natetemeka hapa baridi nyuzi 10😬
Hujielewi mwanaume aliyepevuka huwa anajua anataka mwanamke wa aina gani.
Jua kudhibiti hisia zako na stay focused buddy.

Usitake mwanamke yeyote, hilo ni kosa kubwa.

Taka mwanamke wa ndoto zako na anayekidhi haja ya moyo wako.

Cheka na wengi but chaguo ni moja basi
 
dyufyex si zipo mwanangu
1688435911117.png
 
Back
Top Bottom