mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,390
- 75,807
wande coal ft wizkid-ebelebe.... afrobeat kali kwa sasa...For my hand by burna boy 🔥🔥
wande coal ft wizkid-ebelebe.... afrobeat kali kwa sasa...For my hand by burna boy 🔥🔥
Ngoja nikaisilizee, sema burna,davido na Wizkid wanaibeba nigeeiawande coal ft wizkid-ebelebe.... afrobeat kali kwa sasa...
Huyo dogo mchovu...A.K.A bwabw ahahahahahahhahKmmk, Poor Brain eti dogo ndo ana amkaa🤔😂🤣🤣
mimi kuanzia saa 5-9 ndio mida, sitabiriki
Ahahh si wengne hatulali 🤓🤓😂😂😂mimi kuanzia saa 5-9 ndio mida, sitabiriki
unakesha unafanya nini sasa...Ahahh si wengne hatulali 🤓🤓😂😂😂
Nacheki muvi pia nacheza gemu la tample rununakesha unafanya nini sasa...
acha utani basi... si bora ulale😂nacheza gemu la tample run
Nikilala mimi kuna kazi hazitokuwa sawa anacha utani basi... si bora ulale😂
unapiga shift za usiku au....Nikilala mimi kuna kazi hazitokuwa sawa an
Ndio hivo hivo...unapiga shift za usiku au....
hela inatafutwa aisee...Ndio hivo hivo...
Pia kuna dawa natumia za kuto lala aiseee 🤓😂😂🤓🤓🤓
😂😂😂😂😂😂 Ukikua utaelewahela inatafutwa aisee...
usikute hayo yote unafanya kwa ajili ya mwanamke..... ntakushangaa sana😂😂😂😂😂😂 Ukikua utaelewa
Nitakuona ngese wa kimataifa🤓😂🤣 Poor Brainusikute hayo yote unafanya kwa ajili ya mwanamke..... ntakushangaa sana
Acha Maswala ya kuuliza wanaume wanalala saa ngapi??, Unataka tukufanye Nini🤣😂😂 Poor Brain
yah mwanangu wanasema 'love doesn't cost a dime'Nitakuona ngese wa kimataifa🤓😂🤣 Poor Brain
Mwanao Nani, 🤔🤔, akati ukiona k una tetemeka🤣😂😂yah mwanangu wanasema 'love doesn't cost a dime'
natetemeka kwa furaha😂ukiona k una tetemeka