1:15 ndo nimemaliza kupanga vitu vyangu vya ndani hapa nilipo amia.Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.
Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11 asubuhi. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua KUFANYA IBADA Tuuuu!
Ila cheka tukija on serious issue usije gusa hu moto Intelligent businessman nakusanua mapema 😂😂🤓Wataona itv, kijana mmoja amekutwa amefanyiwa ukatili was kihistoriaa🤣😂😂
Mkuu..1:15 ndo nimemaliza kupanga vitu vyangu vya ndani hapa nilipo amia.
Dharau hizi🤔😂😂😂, utapasukaaaKwaio hapa kuna zena na betina wakiume kumbe😂😂😂😂
Hapana kuna (zena/betina) ndio Intelligent businessman alafu na mimi hapa kishoka Poor BrainKwaio hapa kuna zena na betina wakiume kumbe😂😂😂😂
Alafu kweli ni dharau kiwango cha rami au tumuuzie huu ugomviDharau hizi🤔😂😂😂, utapasukaaa
Tumpasue aisee😂😂Alafu kweli ni dharau kiwango cha rami au tumuuzie huu ugomvi
Kmmk, we zuwena tuliaa😂😂😂Hapana kuna (zena/betina) ndio Intelligent businessman alafu na mimi hapa kishoka Poor Brain
Kashaya vaa huyu ngoja nita deal nae badae ngoja niingie kuumiza machoTumpasue aisee😂😂
Weee ndo betina kwahiyo au 🤓🤓🤓😂😂😂Kmmk, we zuwena tuliaa😂😂😂
Tunaota giza mkuu😂😂😂mko mnafanya nini huku
Tupo lindo😀😀😀mbn hamlali nyie watu