mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,390
- 75,807
1:00 AM
twende kazi
twende kazi
Takuja kumfanya mbaya huyu...Mkishapanga mnambie niwe refaree😂😂😂
Aisee mshamba_hachekwi huyu dogo Poor Brain anataka jamii na serikali kwa ujumla inichukiee😂🤣😎Takuja kumfanya mbaya huyu...
Anachukulia poa et.😂😂😂🤝🤝
Takupanga sio mbali ni uwanjani pale kwa masalo
Oyaa weee kukaa class backbencher usijiione muuni sawa...Aisee mshamba_hachekwi huyu dogo Poor Brain anataka jamii na serikali kwa ujumla inichukiee😂🤣😎
mzipange tu mshindi ntamtoa out nimnunulie bia 😂Aisee mshamba_hachekwi huyu dogo Poor Brain anataka jamii na serikali kwa ujumla inichukiee😂🤣😎
It Dahan na mshamba_hachekwi mko tayari kwenda kuibeba maiti ya huyu falaa🤣😂🤣🤣Oyaa weee kukaa class backbencher usijiione muuni sawa...
Kwanza sikia serious kesho tuonane mazoezini tukotoka kwenye ball
Huyo hapo Dahan atakua shahidi mi sinaga maneno mingi😂😂😂
Kmmk🤔, yaani nimuue mtu kiss bia🤣😂😂mzipange tu mshindi ntamtoa out nimnunulie bia 😂
Nibebe mzoga kupeleka wapii mie😕😕😕 na kwangu tumejaaa team😂😂😂It Dahan na mshamba_hachekwi mko tayari kwenda kuibeba maiti ya huyu falaa🤣😂🤣🤣
Dahan na mshamba_hachekwi Mjiandae kubeba maiti ya huyu marehemu mtarajiwa😂🤣🤣.Ushahidi mandazi ndo sinaga 😂😂😂😂
ushawahi ua hata mende wewe 😂nimuue mtu
Ahahahahah oya wee unasemaje afu now nishakupata vyema nanjiboy...It Dahan na mshamba_hachekwi mko tayari kwenda kuibeba maiti ya huyu falaa🤣😂🤣🤣
Weee ukuje tuu ujionee najua hutoamini nitakavo mfanya an....😂😂😂😂Ushahidi mandazi ndo sinaga 😂😂😂😂
Usipokua makini, nakuozesha kwa popo bawaaa🤣😂😂Ahahahahah oya wee unasemaje afu now nishakupata vyema nanjiboy...
Usije ukaaibika hapa jf sawa maana mi haya mambo we sio wa kwanza kuna mwenzako alileta hizi pigo alichokipata anaelewa
Akafungua na uzi kule jamii intey kuwa kakutana na mwanajeshi sijui
Hiyo intro tu sina maneno mingi 😂😂😂😂🤝🤝🤝
Na hutoweza sana kwanza na mwili huo....Kmmk🤔, yaani nimuue mtu kiss bia🤣😂😂
Mi nachekaga tuu...Usipokua makini, nakuozesha kwa popo bawaaa🤣😂😂
We Waite wengi watakubeba, Mana nasikia mtu mwenyewe ni bonge Kama pipa la gongo🤣😂😂😂Weee ukuje tuu ujionee najua hutoamini nitakavo mfanya an....😂😂😂😂
Kibonge lakini mwepesi....We Waite wengi watakubeba, Mana nasikia mtu mwenyewe ni bonge Kama pipa la gongo🤣😂😂😂
Wataona itv, kijana mmoja amekutwa amefanyiwa ukatili was kihistoriaa🤣😂😂Mi nachekaga tuu...
Maana sibato bato na watoto mpaka nikufundishe adabu kwanza sawa