Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,786
- 58,397
Huyu mutoto ana shida 😂😂😂😂vijembe kama vya kwenye taarab na singeli
Huyu mutoto ana shida 😂😂😂😂vijembe kama vya kwenye taarab na singeli
Mwenye kisu ndo anakula nyamaEbuu niskilize wee pimbi,
Jf nipo kipindi,
Toka enzi zile we dogo upo shule ya msingi,
Alafu mbona unaongea ka taahira, kati juzi juzi tuu we dogo nimekupa dira,
Long time nakushangaa,
Hata hiyo ID yako ishachakaa
Si unajita intel na akili yako imezubaa
Usijichekeshe SI hatuchekiHuyu mutoto ana shida 😂😂😂😂
Skia wee dogo hi sio jkt ruvu...Mwenye kisu ndo anakula nyama
Usiongelee bifu,
Utachekesha Kama sindano
Inayo tetemekea jipu
Nimezaliwa nacheka
Ila simaanishi mtakatifu
Ni mtu wa watu jf
Na MUNGU ndo anaye nilinda kila siku
Kuna battle humu 😂😂😂😂Habari za muda ndugu zangu
Battle gani tena Mkuu,hebu nijuzeKuna battle humu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23]Trying to hustle in my life
Maishi ni UBISHI,
So lazima nitafute dough
Kunilinganisha na Poor Brain na mshamba_hachekwi ni utani bro
Maana vichwa vyao vina maji
Kama wamebeba ndooo[emoji23][emoji23][emoji41]
Ukali unaosema, mi sioniKuna battle humu 😂😂😂😂
Madogo ni vichwa maji mkuu😂😁[emoji23][emoji23]
Hapo ulipo unachekesha
Wewe wewe wewe nisije kukutoa kwa game ujuiHapo ulipo unachekesha
Kama Ulitaka battle,
mbona unaogopa kifo
acha kujichekesha,
hivi ulidhanj mbinguni,
utakwenda kwa motokaa
au utapata zari, Kama yesu alivyopaa😂😂😎😎 Poor Brain
Nishakuambia, mpaka unaomba msamahaa😂😂Wewe wewe wewe nisije kukutoa kwa game ujui
Ahahahaha mkuu mi hivi vtu ni kipaji ujue.. ngoja nikufate PM afu tukutane tsap nikufundisheNishakuambia, mpaka unaomba msamahaa😂😂
Unaiba mistaribya vina, Kisha unajikuta shujaa🤔😂😂Ahahahaha mkuu mi hivi vtu ni kipaji ujue.. ngoja nikufate PM afu tukutane tsap nikufundishe