JamiiForums Usiku wa manane
Wati hawagusi hii medullaa...
Kua na kikomo broo 🤓🤓😂😂😂😂
Juzi juzi tuu ulikua mtoto poli,
Leo unaita wachumba PM mpige story..
Wachumba wanasha wee intell mbona mbwiga
Vi likes kidogo unaanza kujiona biber🤓🤓😂😂😂😂😂😂😂
Demu unaye muona nyota
Ukilala unamuota,
Wajuba washapiga garagaza

Siku umejibiwa comment
Nasikia ulipiga nyeto za kutosha
Muhuni una tushangaza😂😂
 
My best friend....🤓🤓🤓🤓🤓
Nakulea leo afu unataka kunyea kambi...
Moyo wangu mdogo siwezi fuga chuki Intelligent businessman
Sikutukani mybe uanzishe ugomvi nami .. we are best friends.
Siwafichi people
Mlipo nipo
Ila nilipo mwiko

Sio simple
Kuvamia kambi ya Intel bilaa pistol
Bora ungekuja na greda,
We una kuja na kijiko😂😂
 
Demu unaye muona nyota
Ukilala unamuota,
Wajuba washapiga garagaza

Siku umejibiwa comment
Nasikia ulipiga nyeto za kutosha
Muhuni una tushangaza😂😂
Kwanza kunywa chai...,,
Wenzio walio nijadili walikuanja tai..
Kuniponda huo sio ujasili ni sucid..,

Ukiishi upande wangu, haustairi matusi yangu, haustail hata muda wangu. 🤓🤓🤓😂😂😂😂😂
Am your best friends
 
Umeanza gonga gonga nyagi unaona umekua..
Umeanza nyonya nyonya bangi kunyonga ujajua
Intel the son, ndo habari ya town
Natuma njiwa, zifike salamu
Kutesa kwa zamu, maisha matamu
Usingoje kipofu, akupe salamu

We keep majamu, ma vitu haramu
Tusinge yasema, msingefahamu
Nangoja kwa hamu,
maana najua, hamuwezi mtashusha kalamu😂😂
 
Siwafichi people
Mlipo nipo
Ila nilipo mwiko

Sio simple
Kuvamia kambi ya Intel bilaa pistol
Bora ungekuja na greda,
We una kuja na kijiko😂😂
Wee ni msosi mfano wa chipsi na maini..ila mbishi kama nini
Unikosi ila nakuweka list ya maiti shekhe

Unakuja bila tarehe, unagusa bisha wazee.unakufa kabla ya balehe

Sanaa ya uchanaji hauijui,
 
Intel the son, ndo habari ya town
Natuma njiwa, zifike salamu
Kutesa kwa zamu, maisha matamu
Usingoje kipofu, akupe salamu

We keep majamu, ma vitu haramu
Tusinge yasema, msingefahamu
Nangoja kwa hamu,
maana najua, hamuwezi mtashusha kalamu😂😂
Bunduki za maji haziuwiiii
 
Kwanza kunywa chai...,,
Wenzio walio nijadili walikuanja tai..
Kuniponda huo sio ujasili ni sucid..,

Ukiishi upande wangu, haustairi matusi yangu, haustail hata muda wangu. 🤓🤓🤓😂😂😂😂😂
Am your best friends
Now we all ready know
Sasa tunaona unakuwa tatizo
Na sijui nani atasolve, rapper mbovu

Muhuni gani hauna hata kovu😂😂,
Sabuni haikauki mapovu
 
😂😂😂😂😂😂🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 Wenzio wanachukua wachumba waki ni quot mimi
Nimezaliwa kupambana
Mana ya kuishi ni kuiona kesho
Na Mimi ni special,
Kipaji nilicho pewa na MUNGU, Kama zawadi ya utafutaji na ndugu

Kuhusu kufunikwa siwazi
Ila kuhusu Poor Brain na mshamba_hachekwi
mi ndo mkubwa wa kazi😂😂😎
 
Pruuu mpaka makka haunikuti...
Kiakili wee ni mpuuzii puuzi
Unapatia vyema

Hizo baka baka pussy pussy,
Nilizitabili kama kuch kuch
Bado unarudia tena
Tumewasifu kukimbia
Madogo mmepapita kwenu
Leo imefikia mwisho,
Nimechoka kelele na mipasho yenu

Kwa Uwezo na umaarufu jf Nishawashinda
Kama vipi shikeni kisu mnikate😂😂😎
 
Nimezaliwa kupambana
Mana ya kuishi ni kuiona kesho
Na Mimi ni special,
Kipaji nilicho pewa na MUNGU, Kama zawadi ya utafutaji na ndugu

Kuhusu kufunikwa siwazi
Ila kuhusu Poor Brain na mshamba_hachekwi
mi ndo mkubwa wa kazi😂😂😎
Panga mstali intel hapa mpaka kule.
Teketi mkononi jf hakuna kuzama bure,
Over 18 hiki sio kiwanja cha shule,kuweni makini hi kazi inatufanya tule...

We ni tozi unaenda wapi na hauna hela, panga foleni au rudi nyuma unga tela,
 
Panga mstali intel hapa mpaka kule.
Teketi mkononi jf hakuna kuzama bure,
Over 18 hiki sio kiwanja cha shule,kuweni makini hi kazi inatufanya tule...

We ni tozi unaenda wapi na hauna hela, panga foleni au rudi nyuma unga tela,
Hamna sifa, vipi niwasifie
Daily mnabipu,
Leo nimeamua niwapigie,

Nyie endeleeni kukua
Huenda mkafika hapa nilipo
Ila kwa Sasa mshamba_hachekwi na Poor Brain hamna vifua
so siwezi wapa Siri nzito😎
 
Back
Top Bottom