JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Aaahh shetani amepita
Leo ndani mitungi hadi jogoo anawika
Aaahh Dj acha sifa
Izo mbwe mbwe minjonjo utachana spika
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
 
Oya we,mwenzenu Mimi
Sijui kutongaza
Wakijipikisha namwaga hela
Oya mwenzenu mimi sijui kutongoza
Wakinipikisha namwaga hela
Asante asante asante asante
Asante ,🔥🔥🔥☹️
 
Yaani Ankol National Anthem yaani niko zangu namuwish Birthday brother wangu Mshana.
Hee mbwa mmoja wa kufugwa wa kuni maku si akaanza niongelea shit simjui hapo sina time naye. Na alinikuta ni alfajiri nasali kujiandaa kwenda job. Bila hivyo angejua hajui
achana nao shangazi yanguuu.. watoto wengine wachawiii wanasaka umaalufu kwa lazimaaa 😅😅😅 dawa unapiga teke la matako waangukie mtaroni
 
Nionjeshe onjeshe onjeshe kidogo suna
Haya waonyeshe onyeshe onyeshe unavokuna
Girl dutty wine dutty wine dutty wine we baya huna
Girl dutty wine dutty wine dutty wine, yeah 🔥🔥🔥🔥🔥
 
Back
Top Bottom