JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Ankol National Anthem serious nilikuwa likizo so nikawa nalala mchana, usiku usingizi unakata. Basi nikarudi kijiwe changu cha toka 2014 hapa.
Hee likavamia kundi la low life eti nakesha am single 😂😂😂😂
Wewe Ankol unanijua hivi mimi toka kichwani mpk kidoleni ni wa kukosa mtu? Wangejua nina mtu kibopa balaa ana hela chafu naweza kwenda popote Vacation, bila kutumia sumni yangu. Watu wanaonaga kama wote wako sawa humu. Wanachukulia watu poa sana. Wengine show off hatuziwezi tu.
 
Hee likavamia kundi la low life eti nakesha sm single 😂😂😂😂
Wewe Ankol unanijua hivi mimi toka kichwani mpk kidoleni ni wa kukosa mtu? Wangejua nina mtu kibopa balaa ana hela chafu naweza kwenda popote Vacation, bila kutumia sumni yangu. Watu wanaonaga kama wote wako sawa humu. Wanachukulia watu poa sana. Wengine show off hatuziwezi tu.
😅😅😅 shida humu watu wana mentality za kimaskini na roho mbayaa tuu.. na wanajifanya kuwajua sana watu ... wanajiona kama CIA wa maisha ya watuuu...

Jiachie shangazi yangu mzuriii.. kwanza umewazidi kwa kila kituuuu ...

Wao ushamba na maisha yao ya udangaji wanahisi wote wapo hivyooo ...
 
Ankol National Anthem serious nilikuwa likizo so nikawa nalala mchana, usiku usingizi unakata. Basi nikarudi kijiwe changu cha toka 2014 hapa.
Hee likavamia kundi la low life eti nakesha am single 😂😂😂😂
Wewe Ankol unanijua hivi mimi toka kichwani mpk kidoleni ni wa kukosa mtu? Wangejua nina mtu kibopa balaa ana hela chafu naweza kwenda popote Vacation, bila kutumia sumni yangu. Watu wanaonaga kama wote wako sawa humu. Wanachukulia watu poa sana. Wengine show off hatuziwezi tu.
❤️❤️❤️❤️❤️, auntiee yangu huyo,

Waache waongee, hawana lolote
 
😅😅😅 shida humu watu wana mentality za kimaskini na roho mbayaa tuu.. na wanajifanya kuwajua sana watu ... wanajiona kama CIA wa maisha ya watuuu...

Jiachie shangazi yangu mzuriii.. kwanza umewazidi kwa kila kituuuu ...

Wao ushamba na maisha yao ya udangaji wanahisi wote wapo hivyooo ...
Umemaliza yote, nilipopotea nao wakapotea hapa. Yaani maisha yangu, mshahara wangu unakatwa na Serikali. Nalipa kodi zote but mtu mwenye ID fake anitake niishi humu atakavyo yeye maajabu haya. Nakukubali Ankol wangu National Anthem unaishi utakavyo.
Bila kumsahau mdogo wangu wa dhahabu ye34nbe 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
 
Umemaliza yote, nilipopotea nao wakapotea hapa. Yaani maisha yangu, mshahara wangu unakatwa na Serikali. Nalipa kodi zote but mtu mwenye ID fake anitake niishi humu atakavyo yeye maajabu haya. Nakukubali Ankol wangu National Anthem unaishi utalavyo.
Bila kumsahau mdogo wangu wa dhahabu ye34nbe 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
😍😍😍😍😍♥️♥️ my lovely auntiee huna baya na mtu,

🤗🤗🤗🤗
 
Umemaliza yote, nilipopotea nao wakapotea hapa. Yaani maisha yangu, mshahara wangu unakatwa na Serikali. Nalipa kodi zote but mtu mwenye ID fake anitake niishi humu atakavyo yeye maajabu haya. Nakukubali Ankol wangu National Anthem unaishi utakavyo.
Bila kumsahau mdogo wangu wa dhahabu ye34nbe 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
😅😅😅 mie sipangiwi ( in JPM voice )....
Hawajui nilipotoka wala napokwendaaa

Rais wa maisha yangu ni mwenyewe .. naishije najua mwenyewee... tukule bataaa bataaa shangaziii kama shangaziii 🔥🔥🔥🔥

Maisha ndio hayaaa hayaaa bataaaa ziliweee
 
Back
Top Bottom