JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Kama wewe si mtoto wa Jangwani ni VAVAVAYO tu
Watoto wa Jangwani piga keleleeeeeeeeeeeeeeeee
Tunapindua jamvi Algeria
πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°
 
Kama wewe si mtoto wa Jangwani ni VAVAVAYO tu
Watoto wa Jangwani piga keleleeeeeeeeeeeeeeeee
Tunapindua jamvi Algeria
πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°
0-2 πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
Wewe binadamu unalalaje weekend? Hunywi, hushabikii mpira, sasa una raha gani hapa duniani?
Taja DJ wako hapo ulipo...
Anakiwasha????
Anazingua???
Anaipaisha Yanga???
DJ nyokonyoko weweeeee ongeza sauti wewe vavayo
 
Leo nipo sinzaaa πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… madada wamedungasha baraaa hapa kurudi home kesh kutwaaa
 
Maswali mengi kwa waiter huna hela nini?
Piga kelele kama Bank A/C ina digit za kutosha...
Piga kelele kama unakunywa kinywaji, cha bei nyoko nyie
 
Kijana unalale uzeeni ufanyaje? Kula maisha Ankol. Mkesha wa kupokea kombe piga keleleeee kama pochi limetuna, ulipo kuna vibe kama nilipo wewweeeeeeee mpaka kukuche.
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… hapa ni πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ watoto wakali kinoma sema hawakufikii wewe aunty yangu mzuriii... wanatuchuna tu
 
Ah Monday to Sunday
Needa baddie on a yacht ashante
Coz I don’t want no stress
Girl you rocking with the best
The titch gang never rest
πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
Back
Top Bottom