JamiiForums Usiku wa manane
Acha woga wewe hukumbuki sera zetu... 😂😂😂
Panga mkononi roho begani😂😂😂😂😂

Yakikukuta sasaaa 😂😂😂😂😂
panga begani roho mkononiii😂😂😂😂
Kumbe wewe ndiye unamfundisha Wakuperuzi uhuni? Afisa una utovu wa nidhamu.

Ofisini bado hujafika.
 
E

Eeh ndio mkuu😕😕😕😕
Afande, taratibu unazifahamu barabara.
1. Umeacha lindo kwa Kuruta bila makabidhiano
2. Unaenda kutunga sentensi na hela huna
3. Unawafundisha kuruta kiburi na jeuri kinyume na miiko ya JF usiku wa Manane
4. Wito unaitikia kwa kujisikia

Kweli au si kweli?
 
Kweli mkuu...
Ila si makosa yangu, ni makosa labda ya kazi😔😔😔
 
Kweli mkuu...
Ila si makosa yangu, ni makosa labda ya kazi😔😔😔
Unasemaje? Kazi tangu lini iwe na makosa?

Aya ingia ndani. Funga mlango uandike maelezo.

Marufuku mazoea na Makuruta.
 
Back
Top Bottom