Kwenye journal sijaona makabidhiano.Hapana lindo lipo na Wakuperuzi 😂😂😂😂 mi acha nitunge sentensi mkuu...
Ila hii ni hatari kujikabidhi lindo mwenyewe ukisikia msala ndio huuHapana lindo lipo na Wakuperuzi 😂😂😂😂 mi acha nitunge sentensi mkuu...
Anamshikia Mr kenice mkuu... Alipata udhuru😂😂😂😂Kwenye journal sijaona makabidhiano.
Afande Wakuperuzi umepandishwa lini kuwa afisa wa kuachiwa kituo?
Niwe tu muwqzi Dahan akukute tu ofisini maana lindo niko nalo kimakosa bila makabidhianoKwenye journal sijaona makabidhiano.
Afande Wakuperuzi umepandishwa lini kuwa afisa wa kuachiwa kituo?
Tumwambie akutupie taulo au unatakaje😂😂😂Ila hii ni hatari kujikabidhi lindo mwenyewe ukisikia msala ndio huu
Dahan nikute ofisini sasa hivi.Niwe tu muwqzi Dahan akukute tu ofisini maana lindo niko nalo kimakosa bila makabidhiano
Maelezo yanahitajika hakuna namna maana km baridi ni ya kawaida imekuaje unaacha lindo bila makabidhianoTumwambie akutupie taulo au unatakaje😂😂😂
KurutaDahan nikute ofisini sasa hivi.
Wakuperuzi shika lindo kwa muda. Mwenzako akitoka uje.
Hii si jalala..mnaachiana kiholela. Kuruta aachiwa lindo mwenyewe? Akili au matope?
Nisifike ofisini kabla hujafika.
Order tayari so acha niendee kudumisha kwa mudaAcha woga wewe hukumbuki sera zetu... 😂😂😂
Panga mkononi roho begani😂😂😂😂😂
Yakikukuta sasaaa 😂😂😂😂😂
panga begani roho mkononiii😂😂😂😂
Hana lolote huyu ananitaka tuu😕😕😕.... Subiri tuoneMaelezo yanahitajika hakuna namna maana km baridi ni ya kawaida imekuaje unaacha lindo bila makabidhiano