Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 44,331
- 96,584
Nataka kuwa billionaire ๐๐๐๐huonekani lindo skuizi.... Dahan na Wakuperuzi wanafanya lindo linaboa hawapigi stori ๐
Nataka kuwa billionaire ๐๐๐๐huonekani lindo skuizi.... Dahan na Wakuperuzi wanafanya lindo linaboa hawapigi stori ๐
jifunze kukwepa kodi๐ na kutakatisha pesa....Nataka kuwa billionaire ๐๐๐๐
Bro siku tukutanee๐๐, nahisi tutaUngumza mengine kutusaidia๐๐.jifunze kukwepa kodi๐ na kutakatisha pesa....
unaishi wapi kwani...Bro siku tukutanee๐๐, nahisi tutaUngumza mengine kutusaidia๐๐.
๐Nimeshawai kujifunzaa hayoo, kiasi chake mshamba_hachekwi
Kwa Sasa Niko likizo kahama, mitaa ya kina mr kenice. But harakati nyingi ziko dar mshamba_hachekwiunaishi wapi kwani...
ngoja ni-dropout chuo nije tuongee vizuri๐Nakuambia bro tunaeza fanya kitu mshamba_hachekwi,
Tunaeza plan mengi, SI Una chukuaa it course or ??sio mimi mkuu sema hamna njia ya kuthibitisha
But babe ๐๐๐ฒ๐ฒ๐ฒ๐ฒMchepuko wa nan tena????
Hua nahisi hizo ni I'd za mtu 1, ila iam serious coz Kuna idea tuna fanana nae so that's why nikamuambia tumeetKwaio hutak watu wasome๐๐๐๐
niko shule kutimiza wajibu๐ hii semester sijaingia kipindi hata kimoja
Eeh mnauchiz sambamba๐๐๐๐๐Hua nahisi hizo ni I'd za mtu 1, ila iam serious coz Kuna idea tuna fanana nae so that's why nikamuambia tumeet
Umenikumbusha nilipokuwa nasoma business pale cbe ya mwanza.niko shule kutimiza wajibu๐ hii semester sijaingia kipindi hata kimoja
tutakutana tu bro ila shida saivi niko stuck chuo.... bado mwaka 1Umenikumbusha nilipokuwa nasoma business pale cbe ya mwanza.
๐Nilikuwa nalala tu, cheza games, na misosi kwa wingi. Ila likija paper Ni kuvunja kwa hatari๐๐
Mi mwizi wa kimataifa tu ๐๐, mwizi anaye chipukia National Anthem, mpiga chaboo Poor Brain, miyeyusho stow away, chambo wa chama Cha wezi Analyse, mwenyekiti wa mizagamuano Mzee wa kupambania,Eeh mnauchiz sambamba๐๐๐๐๐
Hutaki kuwa Kama bill gates, mark Zuckerberg au genius Elon musk๐๐tutakutana tu bro ila shida saivi niko stuck chuo.... bado mwaka 1
Ulipotelea wapi mzee?Mi mwizi wa kimataifa tu ๐๐, mwizi anaye chipukia National Anthem, mpiga chaboo Poor Brain, miyeyusho stow away, chambo wa chama Cha wezi Analyse, mwenyekiti wa mizagamuano Mzee wa kupambania,
where are you wezi wenzagu๐ค, Sera zetu ๐ panga mkononi
๐ Roho begani
nimeshakuambia story zao zimmetungwa, sio za kweli.... watu wanajua tu kwamba elon musk ni tajiri lakini hawajui the intricate details....Hutaki kuwa Kama bill gates, mark Zuckerberg au genius Elon musk๐๐