Beesmom
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 37,365
- 91,920
Nkundwe Sr Leo usingizi umekuvaa
How do you feel watu wanaporeact angerly kutokana na new style yako ya dislike?Im fine rafiki
Yeah, kazi kwenu sasa 😅😅Wee,sema kweli?!🤣🤣🤣🤣🤗
🤣🤣Kimafia Yaan.Sema hatukuzoea Ile reaction...tumezoea maupendo tu na kujisahau kuwa katika maisha chuki zipo pia.....japo Najua wewe u just react ila huchukii mtu....am I right?😎😎😎😎😎 The best feeling ever
Yeah,I know that broOf course mkuu, sichukii mtu mimi kabisa I'm just playing around here
Una wish nyumba ya aina gani?. Nataka uishi kwa uhuru na kujiachia mrembo, pasiwe na bughuza wala usumbufu mdogo mdogo 😊😊😊Mie najivuta tu hapa.....zamu yangu kusafisha Kwa choo....nijengee bas Analyse ...kwangu nitakuwa nasafisha lakini siyo Kwa pressure hii
Leo nilikuwa silent invisible modeHalf american Leo Imekuwaje tena?
ndio naamka hapaNational Anthem umelala?
Na shayooooo😂😂, I need igbo and shayo mshamba_hachekwinow everybody go chop breakfast Intelligent businessman
Mwizi anaye chipukia National Anthem umepotea🤔🤔ndio naamka hapa
Ni njema kabisa....hope umeamka salama
Oo hope uko poandio naamka hapa
Hatare sanaLeo nilikuwa silent invisible mode
Niko poa kabisa. Ndo najiandaa niende ibadani. Vipi nawe?Ni njema kabisa....hope umeamka salama
Nipo Kwa mama Leo....nitakwenda next weekend ibadani.Ibada njemaNiko poa kabisa. Ndo najiandaa niende ibadani. Vipi nawe?