Team jf usiku wa manane mwizi anaye chipukia National Anthem, mwenyekiti wa mizagamuano Mzee wa kupambania, chambo wa chama Cha wezi Analyse, mpiga chaboo Poor Brain, miyeyusho stow away, albino wa mchongo Half american, bichwa pembe Santos 06, mkimbizi Uchira 1, mgambo wa ndotoni Kanali G, boss misifa Johnnie Walker, madam Bantu Lady, trudie, Dahan and I intelli😁😆Aaaha na team yako ipo wapi au unaenda mwenyewe huna team wewe ? Team usiku manane mko wapi walinzi nyinyi mmelala nakunyahapa mtazoa
Believe and you gonna make itOne day tuta rest sio hadi tufe hapa hapa duniani.. yatapita tu***
Na Mimi nataka kuingia kwenye team ya walinzi wa JF uniongezee hapo, kweli panga mkononi roho begani 😁Team jf usiku wa manane mwizi anaye chipukia National Anthem, mwenyekiti wa mizagamuano Mzee wa kupambania, chambo wa chama Cha wezi Analyse, mpiga chaboo Poor Brain, miyeyusho stow away, albino wa mchongo Half american, bichwa pembe Santos 06, mkimbizi Uchira 1, mgambo wa ndotoni Kanali G, boss misifa Johnnie Walker, madam Bantu Lady, trudie, Dahan and I intelli😁😆
👉We Mean no malice to nobody
👉Sera zetu 👉 Panga mkononi
👉Roho begani
Na ulivyo fala na nyang'au, una acha Mtonyo kisa huyo nyau😁😆Leo alhamis sijaenda kazini.. kesho siendi.. yaani stress zimerudi wakati nilishasahau..
Subiri tutakupigia kura, na utapewa mission za kufanya, I mean no malice to nobodyNa Mimi nataka kuingia kwenye team ya walinzi wa JF uniongezee hapo, kweli panga mkononi roho begani 😁
Nyau yukwapi hapa na huo mtonyo vipi ?Na ulivyo fala na nyang'au, una acha Mtonyo kisa huyo nyau😁😆
Duuuh kumbe hadi nipigiwe kula na mission za kubeba roho mkononiSubiri tutakupigia kura, na utapewa mission za kufanya, I mean no malice to nobody
Ukamjazia neema, leo hi una lala kwenye hema😀😂Sijui kama nilimkosea.. ila mi niliplay my part vema..
Mi najibu mistari ya kijana hapo, I mean no malice to nobodyNyau yukwapi hapa na huo mtonyo vipi ?
Sera zetu 👉 Panga mkononiDuuuh kumbe hadi nipigiwe kula na mission za kubeba roho mkononi
Bora unge penda misosi, Leo hi usinge lalamika kuhusu hio lossHope nitavuka na ili ila nimejifunza.. kucontrol shobo.. hafu once ex forever ex..
Mzee wa miaka 73+ unarap ?Bora unge penda misosi, Leo hi usinge lalamika kuhusu hio loss
Haya basi mnipigie kula chap chap mnikabidhi mapanga shaa na Mimi nibebe roho beganiSera zetu 👉 Panga mkononi
👉 Roho begani
Just flexing, I mean no malice to nobodyMzee wa miaka 73+ unarap ?
Subiri wajeHaya basi mnipigie kula chap chap mnikabidhi mapanga shaa na Mimi nibebe roho begani
Waiteeeeee Waite basi kabla hakula kucha aseeeSubiri waje