trudie
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 4,546
- 11,132
Asante yaani acha tuu unakuta una usingizi mwenyewe ndio kwanza jicho kavu[emoji1][emoji1]Ndo ukubwa huo.....jikaze
Asante yaani acha tuu unakuta una usingizi mwenyewe ndio kwanza jicho kavu[emoji1][emoji1]Ndo ukubwa huo.....jikaze
Hapo saa 12 asubuhi ndo anapata usingizi wakati wewe unatakiwa uamke uendelee na shughuli nyingine...🤣🤣.Asante yaani acha tuu unakuta una usingizi mwenyewe ndio kwanza jicho kavu[emoji1][emoji1]
yakikuvuruga na wewe yavuruge[emoji3061][emoji3061]nimekumbuka msemo wa mzee wanguPole mi nazurura tu, maana Nina mengi yaliyo nivurugaa leoo
Nisha yapigia hesabu, hope zita tickPole sana hope you will get better soon, sorry kwa yaliyokuvuruga
I mean no malice to nobody, Sera zetu 👉 Panga mkononiyakikuvuruga na wewe yavuruge[emoji3061][emoji3061]nimekumbuka msemo wa mzee wangu
Kufakunoga utakatwa shingo kihasaraHakuna kitu mbaya kama ulinzi
Umemaanisha roho mkononi panga beganiI mean no malice to nobody, Sera zetu 👉 Panga mkononi
👉 Roho begani
Ndio nipo shift isiyo na mshaharaKufakunoga utakatwa shingo kihasara
Shift isiyo na mshahara umepigwa fainiNdio nipo shift isiyo na mshahara