JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Nilivofala nikajaa upepo nikamwambia I miss u.. nimeishi kwa shida bila wewe.. Naomba turudiane..
 
Sijui katumwa na nan.. uwezi amini kaniambia ana mtu wake.. afu sahjvi anijibu msg tokea jana..
 
Leo alhamis sijaenda kazini.. kesho siendi.. yaani stress zimerudi wakati nilishasahau..
 
Hope nitavuka na ili ila nimejifunza.. kucontrol shobo.. hafu once ex forever ex..
 
Ninja wenu nitavuka na ili nawahidi.. natoka kwa Mkwawa ila noway kujiua..
 
Back
Top Bottom