Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 37,156
- 55,656
Unatakiwa utoe 3/4 ya ulivyo navyoHuwa natoa sana...
Unatakiwa utoe 3/4 ya ulivyo navyoHuwa natoa sana...
Ntarud hapa saa 4:00 Ngoja nisali kwanza....Leta ushuhuda
Mimi niko njiani ,sijui lini nitafikaWadau wote ambao mpo humu kwenye huu Uzi mnaweza kueleza Kwa nini mpo macho muda huu....
Safari njema. Unaenda wapi mkuu kutokea wapi?Mimi niko njiani ,sijui lini nitafika
Unataka umshtue akubebee viazi na mkaa njiani?Safari njema. Unaenda wapi mkuu kutokea wapi?
Utafika tu mkuu Mungu ni mwemaaMimi niko njiani ,sijui lini nitafika
Mpaka 5:0004:39