JamiiForums Usiku wa manane
Maombi yenu ......bibi yangu aliyenilea ambaye kwangu ni mama yangu anaumwa sana..... Nampenda sana mwenzenu.....mama alipokuwa anapitia magumu bibi yangu hakutuacha.Maombi yenu please ...... National Anthem usinisahaulie wimbo wa dini Leo....nipo sad kidogo my bro
Pole sana.

Mungu ni mwema. Atatenda kadri tuombavyo.
 
Intelligent businessman toka umepanda cheo.. hukeshi 😅😅
Cheo Cha urais wa chama Cha wezi si mchezo, lazima niangalie tunafanyaje ili kuweza kuwa na mbinu bora za kiwizi.
👉Lakini pia naangalia vijana wa chama Cha wezi wanafanyaje mission ninazo wapa 😁😆 mpiga chaboo Analyse, mpiga chaboo Poor Brain, miyeyusho stow away, mwizi anaye chipukia National Anthem na mwenyekiti wa mizagamuano Mzee wa kupambania.
👉Sera zetu 👉 Panga mkononi
👉Roho begani
👉 I mean no malice to nobody
 
Cheo Cha urais wa chama Cha wezi si mchezo, lazima niangalie tunafanyaje ili kuweza kuwa na mbinu bora za kiwizi.
👉Lakini pia naangalia vijana wa chama Cha wezi kina chambo wa chama Cha wezi wanafanyaje mission ninazo wapa 😁😆 Analyse, mpiga chaboo Poor Brain, miyeyusho stow away, mwizi anaye chipukia National Anthem na mwenyekiti wa mizagamuano Mzee wa kupambania.
👉Sera zetu 👉 Panga mkononi
👉Roho begani
👉 I mean no malice to nobody
Boss kubwa fanya mpango hata wa buku 2 ninywe chai aisee
 
Back
Top Bottom