Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 44,412
- 96,733
Nipo nachimba chumvi, ndoo 10 100 aiseeNilikuwa na National Anthem Ubungo darajani mambo ni bilabila. Hebu tufikirie aisee
Nipo nachimba chumvi, ndoo 10 100 aiseeNilikuwa na National Anthem Ubungo darajani mambo ni bilabila. Hebu tufikirie aisee
Mr mchiba chumvi in da building, I mean no malice to nobodyNdo kauli zenu maboss 😀
Kwa hiyo tumcheki nani sasa wewe na Bantu Lady ndo matajiri zetu hapa nasi tumefulia 😢Nipo nachimba chumvi, ndoo 10 100 aisee
Amtegemeaye mwanadamu ame laaniwa, I mean no malice to nobodyKwa hiyo tumcheki nani sasa wewe na Bantu Lady ndo matajiri zetu hapa nasi tumefulia 😢
😅😅😅 tutampiga tukio na utaita wakeSaivi kawa taita anasema 😀
Tugawane chochote kitu alichopataNilikuwa na National Anthem Ubungo darajani mambo ni bilabila. Hebu tufikirie aisee
Jamaa kapandishwa cheo, badala ya kuibia raia, anaibia ofisi 😅😅Intelligent businessman toka umepanda cheo.. hukeshi 😅😅
Dogo una Pima urefu was baharo kwa kidolee, I mean no malice to nobody😅😅😅 tutampiga tukio na utaita wake
Madogo mnataka kunipima Uwezo wangu ehh, nitawaibia mpaka harufu zenu Analyse, National Anthem na Mzee wa kupambaniaJamaa kapandishwa cheo, badala ya kuibia raia, anaibia ofisi 😅😅
Kama umeshindwa kumuiba Dahan Bado sana master 🤣🤣.. ipo siku yako nitakuliza mchana kweupeee huto aminiMadogo mnataka kunipima Uwezo wangu ehh, nitawaibia mpaka harufu zenu Analyse, National Anthem na Mzee wa kupambania
Wee ngoja tu siku zake zinahesabika 🤣😅😅😅 tutampiga tukio na utaita wake
Na yeye tunamuiba kabisaWee ngoja tu siku zake zinahesabika 🤣
🤣🤣🤣 hiki ndo anachokitafuta Intelligent businessmanNa yeye tunamuiba kabisa
Uzima upo umepotezwa na nani
Na ramadhani mkuu......Uzima upo umepotezwa na nani
Ooh safi kabisaNa ramadhani mkuu......
Hivo mara moja moja tunanyapia huku.
Mambo ni byeee mwanawane. Vipi pande hizo mzee baba?
Mwana ndio unaamka nini?Mambo ni byeee mwanawane. Vipi pande hizo mzee baba?