JamiiForums Usiku wa manane
Hivi stress maana yake ni nini vile? (naomba uninong'oneze jibu ili watu wasijue kuwa sijui)
Stress ni pale unapotuma sms kwa mkeo au mumeo ukitoa sifa na pongezi kedekede kwa shughuli njema na iliyotukuka mliyoifanya siku hiyo kwenye uwanja wa fundi seremala ukiwa Safarini kikazi
 
Stress ni pale unapotuma sms kwa mkeo au mumeo ukitoa sifa na pongezi kedekede kwa shughuli njema na iliyotukuka mliyoifanya siku hiyo kwenye uwanja wa fundi seremala ukiwa Safarini kikazi

Hujamalizia sentensi!! Lakini nahisi ulitaka kumalizia ya kwamba "halafu hakujibu au anasema poa tu!!!the next will be double stress. Hatareeee!!!!
 
kumbe wenye wake/waume mna stress za kufa mtu halafu kutwa mnawasimanga masingle wasio na hizi stress ziso na vichwa wala miguu...
Mimi mwenyewe nilihadithiwa na babu yangu, stress za aina hii hutokea kila baada ya karne mbili
 
Back
Top Bottom