Tayukwa
JF-Expert Member
- Dec 11, 2014
- 2,180
- 4,422
Kabla ya kulala tena Ujumbe wako please Bantu Lady
Uliwahi kuniuliza leo ?Kaenda kutafuta chakula shambani.
Halafu wewe niliwahi kukuuliza hili swali. Hukuwahi kuwa na ID nyingine? Mbona kama hii imechipuka kama uyoga?
Akikupatia jibu sahihi nistue nimelala paleeee kwenye sakafuKaenda kutafuta chakula shambani.
Halafu wewe niliwahi kukuuliza hili swali. Hukuwahi kuwa na ID nyingine? Mbona kama hii imechipuka kama uyoga?
Utanipa shida kupulizia pulizia airfreshner ,,kuondoa harufu ya magimbi yako hahaKwahio vitumbus wewe vinakuhusu nini ww nipe lift bhna
Haha jamaa wana uswahili Sana hao mzeeAisee hivi haya yanafanyika kweli au umeamua nionekane mwehu kucheka peke yangu usiku huu tena kwa sauti?
Mbon noshampa amka hapo kwenye sakafuAkikupatia jibu sahihi nistue nimelala paleeee kwenye sakafu
Wahuni sio watu ila wanavaa kama binadamuHuwezi amini nakusubiria wewe tu kila kitu tayari. Acha kushoiya hapa rafiki bana. Usiku wa manane huu au unaelewa kichina?
Umemuuliza tenaMbon noshampa amka hapo kwenye sakafu
03:42
fala ww niacha nilale kwaza😂😂Utanipa shida kupulizia pulizia airfreshner ,,kuondoa harufu ya magimbi yako haha
Sikubali kabisa jirani,na uyu alivyo hakawii kugoma kushuka kwenye gari ,akaniambia ni jobles akae kae kwenye gari alindeWakati sisi watoto wa Masaki tunabeba sandwich. Usikubali jirani
Mapema unakimbilia wapi tenaWapendwa wangu muwe na usiku mwema. Nawapenda sana na leo umekuwa usiku mzuri na nimeenjoy sana. Mbarikiwe 😍😍😍
Na sitoki kweli kwenye gar yako af maziwa ya mbwa jana niliyachukuaSikubali kabisa jirani,na uyu alivyo hakawii kugoma kushuka kwenye gari ,akaniambia ni jobles akae kae kwenye gari alinde
KaziTando ndio nini