JamiiForums Usiku wa manane
Tayukwa naomba nijibie hili swali...
Nafikiri hajawahi tembelea ule uzi wa warembo wakali wa duniani huko na hajui kwamba unaweza ku download picha na kuileta huku

Nna mashaka hata yule mlinzi wa zamu wa leo aliyesema anaenda chooni itakuwa ameweweseka na hiyo

Mkuu stow away naomba upitie kule ujue huyu kimbaumbau kaiba picha ya mtu kule
 
Nalala best done.
 
Noma na Nusu kule wanaendaga vijana wa kujichukulia sheria mkononi sasa yeye amefeata nini kule ?

03:34
 
Back
Top Bottom