Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,582
- 66,248
Wadau wanakonga nyoyoo mzee.
Dah ila kuna mmoja lazima afumaniwe [mention]Mzee wa kupambania [/mention] huyu yupo bise na wake za watu
Wadau wanakonga nyoyoo mzee.
Life hii ngum kakaUmepotea pande izi upo wapi
00:24
Life hii ngum kaka
Sema huku kwetu ndo wakat WA mavuno kutwanzima ni shamba.
Weekend kama hv ndo tunabariiz Kwa hewa.
Naendelea nayo ap pole pole bado niko lindoKaribu chai ya wachawii
Naendelea nayo ap pole pole bado niko lindo
Usiwaache viongozi nyuma watangulie mbele kam tai shingoniVizuri ngoja nikawaite viongozi wje
Msisahauu kutukumbuka wa mjini uku nategemea debe moja kutoka kwako
We dogo, mpaka Leo hujui jinsi ya kutag mtu🤔🤔😁. Haya fanya hivi Johnnie Walker[mention]Intelligent businessman [/mention] acha kuibia watu nakuona