Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 18,849
- 57,526
Nimevaa na Jersey yangu ya Arsenal hapa nashuhudia gameNaona wapo kwenye penati, mzee
Nimevaa na Jersey yangu ya Arsenal hapa nashuhudia gameNaona wapo kwenye penati, mzee
Sijui kama tutatoboa aiseePenalties 👉
Arsenal - 1 - sport cp 2
Arsenal wanafanya niwe Mlinzi leo wa Uzi.
Anayways, it's 01:41
Tunapitaaa, 3-3Sijui kama tutatoboa aisee
Tumekosaa, dahSijui kama tutatoboa aisee
Tulitakiwa mechi tuimalize kabla ya kuingia matuta.Tumekosaa, dah
Fanya mpango unipasie huo Ukoko, nina miaka mingi sijala UkokoKuna ukoko hapa na kisamvu
Naona arteta anataka tuzingatie epl, yasije tutokea ya Liverpool mwaka janaTulitakiwa mechi tuimalize kabla ya kuingia matuta.
Matuta hayana mwenyewe
Nadhani plan ilikuwa hivyo, manake alikuwa na room ya kufanya substitution mapema ili amalize mechi mwisho wa siku tumetolewaNaona arteta anataka tuzingatie epl, yasije tutokea ya Liverpool mwaka jana
Nakunywa maji baridi baada ya kitolewa kwa penalty..moyo upo mbioKulala time 01:56am