JamiiForums Usiku wa manane
Hapa nipo na PC yangu, Kuna project itahitaji nguvu na Akili yangu kwa kiasi Kikubwa.
👉Kufikiri na kutenda accurate sio mchezo🤔 Poor Brain
Hapo sasa ndo usingizi unapoanzaga daah mi siwezi kabisa an
Kuna mda naona kabisa huu mzigo sitoboi nao hapo ndo nalala ila nikisema ngoja nichungulia jf night 8hr daah hapo kidogo 🤓🤓😂
 
Back
Top Bottom