Pamoja sana mkuu Uchira 1 🙏Salam kwenu wakuu
Hasa
Dahan
Intelligent businessman
@mwachiluwi
Unique Flower
To yeye
Mzee wa kupambania
mjumbe wa bwana
Bantu Lady
Depal
Kanali G
Half american
Pastor A
Poor Brain
Niko hapa natafuta wa kumkabidhi lindo Analyse simuoni 🤣🤣🤣Jamani hill lindo linafurahisha, maana guards on duty. Hawaonekani walipo Bantu Lady, Dahan, Poor Brain, mwizi anaye chipukia National Anthem, mwenyekiti wa mizagamuano Mzee wa kupambania mkoo wapiiiiii😎😁😆
To yeye umeamkaje mrembo?06:35
Polee hiyo hali huwa inatupata wengi. Wakati mwingine mimi huwa najiwekea lengo nahesabu mpaka 3 halafu najilazimisha kutoka kitandaniNaona uvivu kuamka....Leo nitachelewa sana job daah
Poa mida. Kazi njemaBaadae bas
Barikiwa sanaPoa mida. Kazi njema
Unalala sana wewe siku hizi kuwa makini usije kupoteza kibarua 😀😀Nipo hapa mkuu. Usalama upo usijali 😅😅