Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 27,494
- 55,133
Ushawahi kufanya kitu chenye kuumiza akili adi ukaona bora ulale.....🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓Kuwa makini usije changanyikiwa, kiss kukosa usingizi.
Ndo yaliyonikuta hapa
Ushawahi kufanya kitu chenye kuumiza akili adi ukaona bora ulale.....🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓Kuwa makini usije changanyikiwa, kiss kukosa usingizi.
Kuna shida gani .? Kuna nini
Vijana wana vuta bangi, kunywa vitu vya ajabu, sijui majitu yamo kwenye jitu kaMa chupa. Aisee wanacheza hovyo tu. 👉Afu mtu ana kuambia bro ninulilie msosiKuna shida gani .? Kuna nini ?
Nini shida mkuu ..Nina stress hapa..balaa
Kumbe!Nini shida mkuu ..
Maana huku tunajuana sasa tukiona someone ambaye sio kawaida yake tuna shangaa..
Upo kwa deep depression sio
Kawaida kawaida hiyo...Vijana wana vuta bangi, kunywa vitu vya ajabu, sijui majitu yamo kwenye jitu kaMa chupa. Aisee wanacheza hovyo tu. 👉Afu mtu ana kuambia bro ninulilie msosi
Think Pair Share...Kumbe!
Watu wapo wapo tu, mpaka nime waza🤔🤔, je humu Kuna bilionea au next engineer anaye🙊🤔🙉Kawaida kawaida hiyo...
Life too short wacha wainjoi mkuu
Sasa hapo ndo pa kustua na wewe kidogo🤓🤓🤓🙌
Alivo muoga sasa alaaah
Kama natafuta kwa ajiri ya hivo vitu...!!!I see a lot of bitches ndo Maisha ya most of guys found in Tz series of spend money time in useless things like fucking bitches , Alcohol and etc.
No ni changamoto za kawaida tuThink Pair Share...
Tena Kuna siku nili vurugwa, nikatamani kuvunja vunja baadhi ya vitu aisee😀😁😎Ushawahi kufanya kitu chenye kuumiza akili adi ukaona bora ulale.....🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓
Ndo yaliyonikuta hapa
Bana bana bana weeeehWatu wapo wapo tu, mpaka nime waza🤔🤔, je humu Kuna bilionea au next engineer anaye🙊🤔🙉
Kuna msemo👉 if you are not making money, while you are sleeping. Then go and work till you do so.Kama nataka hela niamke
Pole sana.No ni changamoto za kawaida tu
NdiyoKama nataka hela niamke
Kama una hasira za hivo wewe wewe wewe..Tena Kuna siku nili vurugwa, nikatamani kuvunja vunja baadhi ya vitu aisee😀😁😎
Huku kawaida yangu mbona sema napoteaga tuPole sana.
Your welcome huku kwa sisi tunaofanya usiku kuwa mchana🤓🤓
Enjoy tuu
Na imagine hiyo ""NDIYO"" soundNdiyo
Kuna fa friendly female professional doctor, kanifundisha vitu vikigoma. Basi nitulie ili nijipange au nichill kwanza.Kama una hasira za hivo wewe wewe wewe..
Ushaaribu sana vitu wewe