Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,488
- 65,841
Nisishiriki kisa Nini??, Mwachiluwi 🤔🤔, I mean no malice to anyone 😎Nataka kugawa vocha hapa atake kuwa mwishi ku quote anapata vocha ya 5000 ila wewe Intelligent businessman usishiriki hapa swa
😂😂 si ulisema umeokoka na unampemda Yesu unajitolea kuwa mwalimu wa sande schoool ili tuache zambi sisi wagumu 😂😂🤣🤣🤣Tangu lini?
Niliacha ulokole majuzi ila Leo naanza tena😂😂 si ulisema umeokoka na unampemda Yesu unajitolea kuwa mwalimu wa sande schoool ili tuache zambi sisi wagumu 😂😂
Shida wewe una kihelehele kama kunguni 😂😂😂 kaa uko sikutaki kwenye hili shindanoNisishiriki kisa Nini??, Mwachiluwi 🤔🤔, I mean no malice to anyone 😎
POA mkuu, ila Kumbuka crdb app hawaruhusu screenshot 😎Shida wewe una kihelehele kama kunguni 😂😂😂 kaa uko sikutaki kwenye hili shindano
Mh kwahiyo sasaiv ww ni mzee wakanisa au muhudumu tu 😂Niliacha ulokole majuzi ila Leo naanza tena
Kwahiyo unataka kusemaje mfano😂😂😂POA mkuu, ila Kumbuka crdb app hawaruhusu screenshot 😎
Mama mtumishi🥳Mh kwahiyo sasaiv ww ni mzee wakanisa au muhudumu tu 😂
Wa mchongo uwwz kuwa mama mtumishi af mda huu tunasumbuana hapa utaki kulala utaki kusaliMama mtumishi🥳
You are just a disappointed fan, so there is nothing more or lessKwahiyo unataka kusemaje mfano😂😂😂
Embuu nyoosha hayo maneno usiongee kama kibogoyo af weww kijana bado sana3:36 about you my friend
Whom I said, we will ride
Till our horses are close
I won't say anything about yah
Coz it's too personal
Just now, you hurt me though
Nikiongea kilatini tutaelewana au nicuba?You are just a disappointed fan, so there is nothing more or less
Sanaa ya uchanaji haujui, so kijana hizo bunduki za maji haziniuiiEmbuu nyoosha hayo maneno usiongee kama kibogoyo af weww kijana bado sana