Dahan
JF-Expert Member
- Oct 26, 2022
- 2,800
- 6,378
Tatizo unaongea sanaaa mchanaaa😂😂😂ukifika night unahisi bado ni mchana tuuu😆😆😆Ni unakuta kuongea ni normal hususan kama ulikua umechoka sana kutwa yako ukipata usingizi mzito kuongea kunatokea kuna wakati nilikua naita majina ya watu wa kazini its normal