JamiiForums Usiku wa manane
Nimesema hivyo BSE nimetoka kupigwa na kitu kizito , nlijiachia kwa mamiloo Leo nimefound out kaolewa , .

That's why I said what I said bro .
Ila mkuu kumbuka ngono isiyo rasmi - Kuna magonjwa,nuksi na mikosi - maana tendo halihusishi miili Bali roho pia.

Mnapofanya tendo, ujue mnabadilishana au kuunganisha nguvu zenu, matendo na muunganiko wenu.

Utapoteza nguvu,muda na hata mapato- mwisho aibu na magonjwa tu

Kuwa makini to whom you are attached with.
 
Duh , najua mapenzi ni do me I do you .. got my back I got yours ..

Hivi Kuwa too honest ni tatizo ?

Nieleweshe .. I'm in my mid 20s
Wala siyo tatizo, Yes najua uko na umri huo.
Yaendee taratibu na uwe makini, suala zima la afya yako. Una future yako so usikubali, mapenzi yakuharibie chochote mbele yako.
Mapenzi yapo utayakuta, tulia focus na unachofanya. Utakuja kuoa utaichoka hata hiyo mbususu yenyewe...
Ushauri kutoka kwa dada yako
BL.
 
Nikasema leo nikamsalimie john walker
 
Attachments

  • C03876C2-61E4-4A10-91E7-3743160FEFB8.jpeg
    C03876C2-61E4-4A10-91E7-3743160FEFB8.jpeg
    66.6 KB · Views: 6
Wala siyo tatizo, Yes najua uko na umri huo.
Yaendee taratibu na uwe makini, suala zima la afya yako. Una future yako so usikubali, mapenzi yakuharibie chochote mbele yako.
Mapenzi yapo utayakuta, tulia focus na unachofanya. Utakuja kuoa utaichoka hata hiyo mbususu yenyewe...
Ushauri kutoka kwa dada yako
BL.
Ahsante sister .
🤩
 
Ila mkuu kumbuka ngono isiyo rasmi - Kuna magonjwa,nuksi na mikosi - maana tendo halihusishi miili Bali roho pia.

Mnapofanya tendo, ujue mnabadilishana au kuunganisha nguvu zenu, matendo na muunganiko wenu.

Utapoteza nguvu,muda na hata mapato- mwisho aibu na magonjwa tu

Kuwa makini to whom you are attached with.
Nimekuelewa brother
 
Wala siyo tatizo, Yes najua uko na umri huo.
Yaendee taratibu na uwe makini, suala zima la afya yako. Una future yako so usikubali, mapenzi yakuharibie chochote mbele yako.
Mapenzi yapo utayakuta, tulia focus na unachofanya. Utakuja kuoa utaichoka hata hiyo mbususu yenyewe...
Ushauri kutoka kwa dada yako
BL.
Aisee usiposikia na hapa, then sycological hauko sawa, sema Bantu Lady umekua my ...boss
 
Back
Top Bottom