JamiiForums Usiku wa manane
Ungekaa njombe wewe..... 🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓
Usingeoga miaka..
Nilivyokuwa form 4 Arusha nilipiga siku 47 nilikuwa napiga msuli kinoma no water mpaka nikaanza kutema kama dampo wenzangu wakaniambia oy bro unazingua asee ndo nikaamua kuingia chemba asee nilitumia lisaa mkuu ni maukurutu hayaishi mwilini 🤮🤮🤢🤢

Sema nilingara after 4 daah aiseeh acha tu 🤣🤣🤣🤣
 
Ahahahahah ulikua ukiambiwa mbona uogi unasema *" nimekuja kusoma sio kuoga"" alaaaaah
Maji muhimu kwa akili ya ubongo sawa
 
Nina allergy na maji 🤣🤣🤣

Mi napenda kuyanywa tu sio kuyaoga 🤣🤣
Allergy wapii.. Uchafuuu😂😂😂😂
Watu kama nyie huwa napenda kuangalia shingo zenu😂😂😂😂
Ukitia kidole hivi ukaburuza unatoka na roughages😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom