Bueno
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 34,610
- 59,584
Chama cha Kutetea Haki za Wanaume kipo hapa haya jieleze kimekutokea nini umechapiwa, umegongewa au unapigwa na mkeo?2:27 sasa
wazee nasisitiza KATAA NDOA
YAMENIKUTA KIJANA MIMI😭😭😭
02:35
Chama cha Kutetea Haki za Wanaume kipo hapa haya jieleze kimekutokea nini umechapiwa, umegongewa au unapigwa na mkeo?2:27 sasa
wazee nasisitiza KATAA NDOA
YAMENIKUTA KIJANA MIMI😭😭😭
SIJAOA ILA YALONIKUTA NI NOMA ACHA TU NINIKAZE KIUME KWANZA MAAAN KUNA MUDA NAWAZA MAAMUZI YA KWENDA KUMCHOMA MTU KISU AISEE😭Chama cha Kutetea Haki za Wanaume kipo hapa haya jieleze kimekutokea nini umechapiwa, umegongewa au unapigwa na mkeo?
02:35
AMEKUBAKA?SIJAOA ILA YALONIKUTA NI NOMA ACHA TU NINIKAZE KIUME KWANZA MAAAN KUNA MUDA NAWAZA MAAMUZI YA KWENDA KUMCHOMA MTU KISU AISEE😭
2;37
HAPANA NIMEPIGWA NA KITU KIZITO MKUU😭 MOYO UNANIUMA SANA QMQMKeAMEKUBAKA?
02:39
Ushalala Poti?02:02 mi Sina time ya kupoteza, ngoma ya mtu siwezi cheza.
So usiponiona usiulize, jua nipo bize
Napambana sio kwa ubaya.
.The great Intelligent businessman was damn here💪💪
Poti amesinzia lindoniUshalala Poti?
02:44
Umeuziwa mbuzi kwenye kiloba au imekuaje umepigwa mahari yako mkeo kaolewa na mtu mwingine?HAPANA NIMEPIGWA NA KITU KIZITO MKUU😭 MOYO UNANIUMA SANA QMQMKe
2:43
Dah mkuu usintoe damu acha nizime data tu kwanza 😁😁Umeuziwa mbuzi kwenye kiloba au imekuaje umepigwa mahari yako mkeo kaolewa na mtu mwingine?
02:45
Oshey mr2:27 sasa
wazee nasisitiza KATAA NDOA
YAMENIKUTA KIJANA MIMI![]()



Sasa umekuja kutuambia yaninii hukuu kama hutaki elezea😂😂😂Dah mkuu usintoe damu acha nizime data tu kwanza 😁😁
we elewa nimepigwa na kitu kizito ipo sku nitahadithia humu kwa sasa sipo sawa kabsa siku yngu ya jana ilikua mbaya kabsa
2:47
Upendi kuoga unazani utapata usingizi hapo.... 🤓🤓🤓🤓🤓Yaani sijui kwann usingizi hauji 😠😠😠😠