Abby Uladu
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 2,241
- 4,646
Huu uzi kwel utaisha *****
Kheri iwe na nyinyi mkuu, tunawaombea wenye ugonjwa wapate nafuu🙏🙏01:44 nipo hospital na dogo langu nakesha leo
Amina sana Mkuu🙏🙏🙏🙏na ikawe hivyoKheri iwe na nyinyi mkuu, tunawaombea wenye ugonjwa wapate nafuu🙏🙏
Ngoja wajeee.. 😂😂2:27 sasa
wazee nasisitiza KATAA NDOA
YAMENIKUTA KIJANA MIMI😭😭😭
Eee nani kakukataza?Nikikuambia iam not allowed to have a girlfriend unaeza usiamini