Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,583
- 66,265
Bro. nipo online sema majukumu tu
Dah sawa boss
Bro. nipo online sema majukumu tu
nakuona umekuwa kiranja wa zamu leoDah sawa boss
Tuhamie kule entertainment Bigi kafanyiziwa huko05:00...morning glory time![]()
🤣Nafanyaje?Oh kumbe To yeye yuko busy kujenga na kusiliba pale anapozani patakuja kubomoka baadae😄😄. Sio mbaya tumpe support maana kupendwa unapopendwa raha sana😊😊
Bantu Lady nahisi uchovu wa kazi na Mambo mawili matatu yanamfanya awe busy. Ila atakuja kunena mwenyewe kipenzi rafiki yangu.
😳Mi nipo single bhanaSanaa sikuhiz To yeye yupo penzini amenogewa na Bantu Lady anawai mnooo kuaga lindo.. 😂😂😂
Usiku nitakuwepoMi nimewamiss marafiki zangu wa ukweli To yeye na Bantu Lady maana wamekuwa wavivu kufika lindoni now days 😊
Mtakuja kuitwa wachawi🤐🤐Umekimbiaa lindo😂😂😂
Upo single lakini 😅😅😅 umeshindwa pambania hata mmoja kati ya vyombo vya Intelligent businessmanNipo tayari kwa kazi

00:10
00:1500:10
Mapema kabisa Ankol. Ulo poa kabisaBantu Lady leo mapema tu
Ewaaaa mtu kitengo cha dawa za usingizi00:32