JamiiForums Usiku wa manane
Sanaa sikuhiz To yeye yupo penzini amenogewa na Bantu Lady anawai mnooo kuaga lindo.. 😂😂😂
Oh kumbe To yeye yuko busy kujenga na kusiliba pale anapozani patakuja kubomoka baadae😄😄. Sio mbaya tumpe support maana kupendwa unapopendwa raha sana😊😊
Bantu Lady nahisi uchovu wa kazi na Mambo mawili matatu yanamfanya awe busy. Ila atakuja kunena mwenyewe kipenzi rafiki yangu.
 
Walileta mijoka humu Da'Vinci.. 😂😂😂😂 Kwaio Bantu Lady akakimbiaa😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom