SPACE CADET
JF-Expert Member
- Dec 15, 2022
- 2,280
- 3,562
Amkeni mkasali na kujenga taifa























Morning Glory ili tukafanye kazi vizuri 05:18
Dah leo nilala mapema sorryKanali G upo bro amka ukasali Mwachiluwi ni viplo mwanawane
Ahajaha mm zangu zina bajetAna wivuuuu alafu hana 💵 😂😂😂😂au basi Intelligent businessman twende km zote mtu wang😂😂😂,,, 💵 utatumia zangu na Mwachiluwi. ...
Mi mwenyewe jana nilipitiwa saa 9 usiku leo ngoma droo tena city tumeshinda yaani nimefurahi mpaka usingixi umekata 😹😹Dah leo nilala mapema sorry
Ahahaha weka heshima bar basMi mwenyewe jana nilipitiwa saa 9 usiku leo ngoma droo tena city tumeshinda yaani nimefurahi mpaka usingixi umekata 😹😹
Pombe chungu siipendagi hata labda nieke kwa mangi maaana napenda mandazi sana ntanunua ya 5000 kesho nipate 50 😹😹😹Ahahaha weka heshima bar bas
Nunua nije nikusaidie kulaPombe chungu siipendagi hata labda nieke kwa mangi maaana napenda mandazi sana ntanunua ya 5000 kesho nipate 50 😹😹😹
No way hiyo ni anasa yangu aseeee we kale chipsi na urojoNunua nije nikusaidie kula
Chips situmii tenaNo way hiyo ni anasa yangu aseeee we kale chipsi na urojo
Unatumia nn ugali samaki na mboga mboga sio eeehChips situmii tena
Na mbegu za mabogaUnatumia nn ugali samaki na mboga mboga sio eeeh
Umezingua lindo lilikosa mtu sijui utakabidhi vipi 05:50Dah leo nilala mapema sorry
Dah ww acha tu kaka anguUmezingua lindo lilikosa mtu sijui utakabidhi vipi 05:50
polee saanaDah ww acha tu kaka angu
polee saana
Bro. nipo online sema majukumu tuAsante boss mbona umepotea