JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Naombeni mtu aview my profile, aone kama ananiona niko wapi kwa sasa, nikimaanisha jukwaa gani 😄😄😄😄😄
Mtu atajua upo jukwaa fulani kwa kusoma your last text. Kwa mfano Kama hii uliyoiandika mtu akiingia kwenye profile yako inamuonesha ulikoment kwenye uzi wa "Usiku wa manane" probably inajulikana huo uzi unapatikana jukwaa gani. Nadhani umeelewa hapo😊😊
 
Okay hii sawa. Sitaki ionekane palepale kama ni pm ama hapa muda huu. Mimi najiona kuwa niko hapa 😁😁😁😁
 
PM hawezi kujua mpaka awe na password, Ila ukitaka asione chochote just "ignore" kwa mhusika Ila sasa atajua tu kuwa umemfanyia umafia which is........🙆🤣
 
Back
Top Bottom