Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 44,394
- 96,699
Ushaitwa rafiki, so cheza kwa kutuliaaaUliacha data on all night long? I missed you🌹
Ushaitwa rafiki, so cheza kwa kutuliaaaUliacha data on all night long? I missed you🌹
Siku hizi naacha tu On sina jinsi. Mimi zaidi umemisika pia 😘Uliacha data on all night long? I missed you🌹
Wala usiwe na hofu nami, wala siingilii pale mwenzangu alipokwishapendwa. So stay stable and safe mkuu😊Ushaitwa rafiki, so cheza kwa kutuliaaa
Kutoka kuwa my bodyguard mpk nini tena? 😆😆😆😆😆 halafu ungejua kuna sehemu mwenye mali alikuona, unaninyemelea akapitisha like nijue ameona ohooo...Ko siku hizi nimekuwa ka sanamu Bantu Lady ??
Basi utakuwa unaweka bundle la mwezi mzima na notifications on maana so kwakukutaja tu and all over the suddenly you just showed up over here😀Siku hizi naacha tu On sina jinsi. Mimi zaidi umemisika pia 😘
Asikutishe huyo wake Dahan tu. Mimi boss wake huyo Intelligent businessmanWala usiwe na hofu nami, wala siingilii pale mwenzangu alipokwishapendwa. So stay stable and safe mkuu😊
Dahan umekabidhiwa jimbo so feel free bhana🤣🤣Asikutishe huyo wake Dahan tu. Mimi boss wake huyo Intelligent businessman
Asante kwa ushauri best. Nikimaloza hapa tu nazima data. Ubarikiwe, nilikuwa nazima sema ile ishu inabidi niache On. But kwa ushauri huu nitazima tu.Basi utakuwa unaweka bundle la mwezi mzima na notifications on maana so kwakukutaja tu and all over the suddenly you just showed up over here😀
Kwa maisha ya battery ya simu yako uwe unazima tu data mpaka pale utakapotaka kuitumia. Ni ushauri tu lakini
Mie tenaaa na kijana wa hovyooo😂😂😂😂
Ana wivuuuu alafu hana 💵 😂😂😂😂au basi Intelligent businessman twende km zote mtu wang😂😂😂,,, 💵 utatumia zangu na Mwachiluwi. ...Wala usiwe na hofu nami, wala siingilii pale mwenzangu alipokwishapendwa. So stay stable and safe mkuu😊
Don't tell me things are ain't yet settled btn you guys🤔 calls za kawaida si zipo kumualert mtu kuwa "washa data". Any way fanya vile uonavyo ni vyema zaidi my dearAsante kwa ushauri best. Nikimaloza hapa tu nazima data. Ubarikiwe, nilikuwa nazima sema ile ishu inabidi niache On. But kwa ushauri huu nitazima tu.
Inatoshaaaa nitafia hapa njeeKutoka kuwa my bodyguard mpk nini tena? 😆😆😆😆😆 halafu ungejua kuna sehemu mwenye mali alikuona, unaninyemelea akapitisha like nijue ameona ohooo...
Dada upo on tapatalk😂😂😂😂Naombeni mtu aview my profile, aone kama ananiona niko wapi kwa sasa, nikimaanisha jukwaa gani 😄😄😄😄😄
Hamna kituuuNaombeni mtu aview my profile, aone kama ananiona niko wapi kwa sasa, nikimaanisha jukwaa gani 😄😄😄😄😄
Kipooo😂😂😂😂Hamna kituuu
Kila kitu kiko poa kabisa sasa, yeah bora kualeart kwa simu ya kawaida. Lazima nizime ndiyo maana bundle la mwezi natumia wiki 🤔🤔🤔🤔Don't tell me things are ain't yet settled btn you guys🤔 calls za kawaida si zipo kumualert mtu kuwa "washa data". Any way fanya vile uonavyo ni vyema zaidi my dear
Eeehh, utamtambuaje agent wa mizagamuano, ana bichwa dogo Kama nazi ya bukuAna wivuuuu alafu hana 💵 😂😂😂😂au basi Intelligent businessman twende km zote mtu wang😂😂😂,,, 💵 utatumia zangu na Mwachiluwi. ...
Leo mrembo umekunywa nini? 😄😄😄😄😄😄😄😄Dada upo on tapatalk😂😂😂😂
Umenikana mara ya 1Asikutishe huyo wake Dahan tu. Mimi boss wake huyo Intelligent businessman