Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 44,416
- 96,764
Feeling fine now, Bantu Lady coz bad moment don't always last foreverMimi zaidi Intelligent businessman uko poa kabisa?
Feeling fine now, Bantu Lady coz bad moment don't always last foreverMimi zaidi Intelligent businessman uko poa kabisa?
Sema Bantu Lady ananifanya niwe bize, si unajua masomo ya mnyanduano yana topic ndefu. So Dahan vumilia ntamaliza soonKutulia ndo huwezi man😂😂😂😂 adi uoneshwe zebra
Niko poa kwa Sasa chief🙏🙏Mkuu vipi Intelligent businessman
Ni jambo la kheri kamandaNiko poa kwa Sasa chief🙏🙏
Yeah nimeelewa Hilo, though inaumiza ila itabidi nipambane naloNi jambo la kheri kamanda
Never give up bro, maisha ni kupambana kila iitwapo leo na sasa. Naomba niishie hapa kwenye hili.Yeah nimeelewa Hilo, though inaumiza ila itabidi nipambane nalo
Ask your mom anaeza jua ??Vipi umeahirisha kujinyonga
Saev tutafanya kutupa na kuokota tena😂😂😂.. Usikimbie ssSema Bantu Lady ananifanya niwe bize, si unajua masomo ya mnyanduano yana topic ndefu. So Dahan vumilia ntamaliza soon
Aloo heshima iwepo tafadhariAsk your mom anaeza jua ??
Mkuu nimekujibu kutokana na style ya uulizaji wako kakaAloo heshima iwepo tafadhari
Never ever sitorudia DahanSaev tutafanya kutupa na kuokota tena😂😂😂.. Usikimbie ss
Achana nao, tuendelee na mapenzi yetu
😂😂😂😂Mapenz na kazi si unajua tenaaa effect yakeAchana nao, tuendelee na mapenzi yetu