Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 44,416
- 96,770
Nishakuambia wakati unanipea usipende kujirecord DahanSio mimii mkuu😂😂😂
Intelligent businessman unaona sasaa
Nishakuambia wakati unanipea usipende kujirecord DahanSio mimii mkuu😂😂😂
Intelligent businessman unaona sasaa
Nipo naangalia tamthilia ya ezel hapa National Anthem00:00
C.c Bantu Lady Dahan Intelligent businessman Uchira 1 .... Night shift imeanza... hapa nimeisha piga Espresso double...hapa popp akasome
Na sasa hivi zinatembea haswaa, tusio na mchepuko wa dharura tutabaki wasomaji kama guest tuKwenye uzi husika, mkipishana mitazamo na mod.. anakutandika tofali
Kumbe watu mnapeana maisha humu dahNishakuambia wakati unanipea usipende kujirecord Dahan
😅😅 siku hizi nipo busy sana , ingekuwa zamani naona wangeishia na kunipa life ban... ila tuishi nao tuNa sasa hivi zinatembea haswaa, tusio na mchepuko wa dharura tutabaki wasomaji kama guest tu
Afu usiwe unaibana maiki yangu Sana, utafanya niwe nafika mapemaTatizo la waquba hili😂😂😂
Watu wanapeana na wengine hata hatujui.. eneseketeshaaa sana
😃😃😃😃😃 watu wanawekana na kupeana kama kawa, wewe tu Ankol 😄😄😄😄Watu wanapeana na wengine hata hatujui.. eneseketeshaaa sana
Duh! Mkuu tunasimamisha huku halafu hatuna pa kuziachiaAfu usiwe unaibana maiki yangu Sana, utafanya niwe nafika mapema
Wahaya kwa misifa hamjambo. Jina lako unataka ulitetee ati ni la kilatini..Aaah Dada Vinci, mimi hata ukiniita vyovyote vila sintakwazika.....
Ila nashangaa tu hata wewe mkatoliki kindakindaki unakuwa huna ufahamu wa lugha ya Kilatini.....
Aisee🤔Afu usiwe unaibana maiki yangu Sana, utafanya niwe nafika mapema
Mie ndio pimbi wa jf asee 😅😅😅.. Nitastaafu na ugwadu wangu huku wengine wanapeana.. sijui nakosea wapi tu😃😃😃😃😃 watu wanawekana na kupeana kama kawa, wewe tu Ankol 😄😄😄😄
Oy genius vipi tenaa??Aisee🤔
Im single madam.. Waliniacha jana wote Intelligent businessman na mwenzie Mwachiluwi 😂😂😂... Sijui ndo bado wako na uchovu hadi kuchelewa lindo😅😅
Mimi zaidi Intelligent businessman uko poa kabisa?Dah nilikumiss Sana Bantu Lady, afu Dahan ananipa kwa mwaka mara 1
Aaaaah, hata Papa Francis alipoongoza ibada ya kufungua mwaka 2023 alitaja jina langu, au hukusikia ???Wahaya kwa misifa hamjambo. Jina lako unataka ulitetee ati ni la kilatini..