JamiiForums Usiku wa manane
Zanzibar nilitaka kumshika kabisa alikua kwenye kitasa. Mimi nawenge la usingizi naangaza kitasa sikioni naona dude limejizingira tu😅
Hapo nyoka hawezi fanya kitu kwasababu unakuwa hujatoa hormones zina ashiria wasi wasi kwasababu huna idea.. nyoka anajilinda anaposikia harufu harufu ya hizo hormones anakuwa anajua kimewaka hapa so lazima ajilinde ila kama upp normal mna hug kabisa
 
Ninabahati mbaya ya kukutana nao...
 
Back
Top Bottom