MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,453
- 69,340
Offcourse, alikuwa anaongea Kilatini.....Sikufuatilia nilikua chini ya jiwe
Mzee wetu alienda kuwa na Bwana mwaka 1997.......Hivi yupo bado??
Offcourse, alikuwa anaongea Kilatini.....Sikufuatilia nilikua chini ya jiwe
Mzee wetu alienda kuwa na Bwana mwaka 1997.......Hivi yupo bado??
Usiseme hivyo mimi ni muoga acha kabisa. Hivi vidudu vidogo nimeanza kuviua, miaka hii hii ya karibuni.Halafu keshaingia yuko chini ya kitanda chako....
Ukisinzia tu unamkuta ndani ya shuka....
Dah Bantu Lady uwe unanificha, ili Dahan asije niiba sanaHalafu ndiyo mlinzi wangu huyo Intelligent businessman 😄😄😄😄
Dodoma kuna mavifutu mengi pia sema haya mwendo... Binadamu tuna uwezo hata wa kupotea, sema hayajarufika ya kufanya tupotee31 December 2022 nilimkanyaga Dodoma. Nikagundua binaadamu twaweza kupaa kumbe😅
Ukisikia tu kitu cha baridi kinapita mwilini basi jua ndiyo mwenyewe huyooo.....Usiseme hivyo mimi ni muoga acha kabisa. Hivi vidudu vidogo nimeanza kuviua, miaka hii hii ya karibuni.
Ana mambo mengi sana huyu mtu, machachari haswaaaSasa ana balance vipi hapo 🫢🫢 huku Dahan huko wewe.. watu wana mazali
Wanapenda chini ya mto hao 😅Halafu keshaingia yuko chini ya kitanda chako....
Ukisinzia tu unamkuta ndani ya shuka....
Silali basi, asante kwa kunifanya leo nikeshe... muone 😓😓😓😓Ukisikia tu kitu cha baridi kinapita mwilini basi jua ndiyo mwenyewe huyooo.....
Dah nina wish ningekuwa mie 😅😅😅Ana mambo mengi sana huyu mtu, machachari haswaaa
Relax Bantu Lady for you I will even defeat the devil herselfUsiseme hivyo mimi ni muoga acha kabisa. Hivi vidudu vidogo nimeanza kuviua, miaka hii hii ya karibuni.
Nakwambia tena, ukiona kitu cha baridi tu fahamu ashapanda kitandani....Silali basi, asante kwa kunifanya leo nikeshe... muone 😓😓😓😓
Dom, Sing, Tabr. Hawa viumbe wanakula hadi ubwabwa. Nilikua sijawah kukutana na nyoka wengi hivyoDodoma kuna mavifutu mengi pia sema haya mwendo... Binadamu tuna uwezo hata wa kupotea, sema hayajarufika ya kufanya tupotee
Thank you my bodyguard 😘Relax Bantu Lady for you I will even defeat the devil herself
Tena joto la kitanda cha mwanamke ndiyo huwa wanalipenda zaidi......Wanapenda chini ya mto hao 😅
Halafu Bantu Lady ulisema utanifundisha style ya popo kanyea mbingu ili nikamringishie DahanAna mambo mengi sana huyu mtu, machachari haswaaa
Akisikia kitu kinapumua chini ya kitanda basi mzee wa kazi kashaingia.😅Nakwambia tena, ukiona kitu cha baridi tu fahamu ashapanda kitandani....
A White Knight spewing sweet-nothings to Damsel in Distress.......Relax Bantu Lady for you I will even defeat the devil herself
Expert wa magonjwa ya Wanawake kwenye ubora wako!!!Tena joto la kitanda cha mwanamke ndiyo huwa wanalipenda zaidi......