National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,202
Amechukua sheria mkononi kwa manzi ya ModSinahabar mbona ulifanya nn
Amechukua sheria mkononi kwa manzi ya ModSinahabar mbona ulifanya nn
Dada Vinci mzima wewe....Watching this masterpiece...Very interesting.
View attachment 2518789
Sio mimii mkuu😂😂😂Dahan asanteee kwa naked avatar hakika wewe ni kisuuu



Hapana ni wewe....😊😊😊😊 avatar zote unaweka zako OG... hata ile ya nicab ni fireSio mimii mkuu😂😂😂
Intelligent businessman unaona sasaa
Mzima wa afya. Vipi wewe bwana mdogoDada Vinci mzima wewe....
Nipo bado Ankol, nimekuahidi so nipo nipo.Bado upo au tayari chalii
Kuna uzi wake huku😢😢😢Mambo gani hayo tena
00:33
Safiii sanaaa .. hakuna kulala alafu developer wa Jf watuwekee option kakupiga soga kwa sauti 😅😅😅Nipo bado Ankol, nimekuahidi so nipo nipo.
00:45
Bwana mdogo nipo tu dada, naomba hela basi.....Mzima wa afya. Vipi wewe bwana mdogo
Asante mamaaa midomo ni kujiramba tu...Kuna uzi wake huku😢😢😢
😂😂😂Ili watu watumie sauti za watu kufanya mambo mengine😅😅😅Safiii sanaaa .. hakuna kulala alafu developer wa Jf watuwekee option kakupiga soga kwa sauti 😅😅😅
😅😅😅😅😅 kusaidiana tuuu😂😂😂Ili watu watumie sauti za watu kufanya mambo mengine😅😅😅
Hizi ban za majukwaa zinakera, nilichezea ban sehemu miezi mitatu.. sema siku na interest na uzi wenyeweCarrasco putin unasema kweli una Ban ya Seilfika? Au unatania?
Kwanini wapenda kuniharibia jina langu lakini. Jina lako pia naweza lifanya liwe halina staha (Annus. )😅Bwana mdogo nipo tu dada, naomba hela basi.....
Inakuaje hiyo? Ukifanya nini, kwenye jukwaa husika unazawadiwa Ban?Hizi ban za majukwaa zinakera, nilichezea ban sehemu miezi mitatu.. sema siku na interest na uzi wenyewe
Kwenye uzi husika, mkipishana mitazamo na mod.. anakutandika tofaliInakuaje hiyo? Ukifanya nini, kwenye jukwaa husika unazawadiwa Ban?
Aaah Dada Vinci, mimi hata ukiniita vyovyote vila sintakwazika.....Kwanini wapenda kuniharibia jina langu lakini. Jina lako pia naweza lifanya liwe halina staha (Annus. )😅